Elections 2010 Kura za walimu kurejea kwa JK


mama sitta alikuwa mwenyekiti wa chama cha waalimu tanzania (cwt) kabla ya kuteuliwa kuwa waziri, baada ya yake ndio akaja ndg gratian mukoba ambaye alihongwa na kapuya na akawasaliti waalimu katika mgomo wao. Ndio maana waalimu walitaka kumtoa roho pale diamond jubille. Ni wazi kuwa anatumika tena kuwasaliti waalimu na wafanyakazi. Kama ilivyokuwa diamond jubilee ataumbuka tena siku za hivi karibuni
 
1wafalme 8: 44- Ikiwa Watanzania wametoka kwa ajili ya kupigana na adui zao kwa njia yo yote utakayowapeleka( hata kwa kupiga kura) wakikuomba bwana Kuelekea Mji huu uliouchagua na nyumba hii (ibada)niliyojenga kwa jina lako, basi uyasikie huko mbinguni maombi yao na dua yao, ukaitetee HAKI yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…