Kura zetu JF: Muungano uendelee, usiendelee?

Kura zetu JF: Muungano uendelee, usiendelee?

Waridi

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Posts
1,025
Reaction score
172
Wakuu,
Napendekeza tutoe sauti ya umma hapa JF kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tupige kura kwa kuandika hapa.
Kwa wanaoutaka, andika: UENDELEE
Kwa wasioutaka, andika: USIENDELEE
Si mbaya ukitupia maelezo ya chaguo lako.
Nawasilisha.
 
Uwe wa serikali Tatu, kama sio Serikali 03 USIENDELEE.

Haya ni maoni sahihi na hakuna uhaini, hatuwezi kuendeleza ukoloni, udikteta na uzandiki. Si umeona watu makini wanavuliwa uanachama kwenye vyama vya kihafidhina.
 
Back
Top Bottom