Nitakutafuta unifundishe mapishi ya chapchap kwa bachela. Nimechoka kula junk food
Mi Niko nyuma yako hehehee
Haifunguki jamani Fakhrina..
Sipati hata kucoment jaan. .mkweo anaivuta sim acheze games
Weka japo recipes kwa kila picha
Oke,tupo pamoja
Habari zenu wapishi wote natumai mko salama
Ningependa tujumuike pamoja katika kujifunza mapishi mbalimbali kupitia ukurasa wangu wa Instagram ambao nimefungua siku chache zilozipota..
Ukurasa ni: farkhina_zahraan_kitchen
Shukraa sana
Nawapenda wote 😘😘😘😘😘
Cc Mentor Watu8 Heaven on Earth gorgeousmimi Mrs Kharusy Angel Nylon atoto Ennie measkron Chocs Swts Dinazarde
Safi sana mama, nilikuwa najiuliza hivi una ac insta kweli ili nikufollow? Yaani mie hata ukianzisha darasa ambalo tutakuwa tukilipia kujifunza i'll support you, maana ktk sekta hii nakukubali sanaaa.
Nimefurahi kuskia hivyo
Shukraan sana
Dd farkhina nshakupata insta.tuko pamoja