Kurasimisha namba na TCRA

Kurasimisha namba na TCRA

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, habari za mda huu.

Nimekuwa nikipokea messages kibao kupitia simu yangu kuwa nirasimishe namba zangu zote za simu nilizosajiri kupitia kitambulisho changu.

But kwa mujibu wa maelezo yao wanasema nipige *106# then nifuate maelezo Ila nimejaribu kufanya hvyo bado naona messages hazikauki na wanadai zimebaki 4 days only kukamilisha urasimishaji.

Hvyo, kwa ambo wamekutana na hii kadhia mmeitatuaje jamani maana Nina wasiwasi na namba zangu kufungiwa japo nimesajiri kwa kitambulisho changu mwenywe.

Refers, Nina namba mbilimbili kwa hii mitandao
1. tigo-2
2. Aitel-2

Mitandao mingine iliyobaki nimesajiri line mojamoja tu.
 
Nadhani ukirasimisha moja kwenye huo mtandao,nyingine itajifia yenyewe, ndivyo nilivyoelewa na nimerasimisha moja toka mtandao niliokuwa nazo mbili,japo kuderegister wanasema tembelea ofisi zetu
 
Wakuu, habari za mda huu.

Nimekuwa nikipokea messages kibao kupitia simu yangu kuwa nirasimishe namba zangu zote za simu nilizosajiri kupitia kitambulisho changu....
Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nk
 
Hili zoezi kwangu limekuwa na changamoto kubwa maana kitambulisho cha nida kimepotea kabla sijarekodi namba za kitambulisho popote.
 
Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nk
Mimi nilidhani wana-limit uwe na namba moja kwa kila mtandao...kumbe hata zaidi ya moja..!!
Kwahyo kuna pesa yoyote uliyolipia kwa hyo operation au ni free..?
 
Gluk , ni lazima urasimishe namba ya primary na secondary. Yaani hiyo ya secondary kama unatumia kwa matumizi ya ziada kama huduma za fedha, simu za ofisi, biashara na au kwenye vifaa vingine kama modem, rooter, CCTV nk.

Mfano mimi nilienda hapo voda victoria wakanisetia wenyewe primary na secondary, ila tigo walicomfirm tu kuwa hizo namba mimi ndiye mmiliki halali, so baadae nikaenda kwenye menu ya *106# kurasimisha primary na secondary.
 
Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nk
Asante mkuu,ngoja nami nifuatilie.
 
Gluk , ni lazima urasimishe namba ya primary na secondary. Yaani hiyo ya secondary kama unatumia kwa matumizi ya ziada kama huduma za fedha, simu za ofisi, biashara na au kwenye vifaa vingine kama modem, rooter, CCTV nk...
Kwan ni lazima uende na hizo lain zote atakama nyingine ni kwa matumizi ya nyumban tu?
 
Watu bhana yani since mwezi wa 1 mpk leo sijaweka kidole changu katika mashine yoyote natumiwa tu ujumbe kua ujakamilisha Usajili kwa alama ya vidole
 
Back
Top Bottom