Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mbona mimi nimerasimisha vizuri tu na imekubali voda na tigo?
Nasikia wanakufungia zoteKwahyo mkuu kama unatumia laini mbili na usiporasimisha kipi kitatokea?
Nasikia wanakufungia zote
Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nkWakuu, habari za mda huu.
Nimekuwa nikipokea messages kibao kupitia simu yangu kuwa nirasimishe namba zangu zote za simu nilizosajiri kupitia kitambulisho changu....
nenda ile menu ya nida utapata namba yako kama ulijisajiriHili zoezi kwangu limekuwa na changamoto kubwa maana kitambulisho cha nida kimepotea kabla sijarekodi namba za kitambulisho popote.
Mimi nilidhani wana-limit uwe na namba moja kwa kila mtandao...kumbe hata zaidi ya moja..!!Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nk
Shukrani mkuu, naomba nikumbushe na hiyo menu tafadhali.nenda ile menu ya nida utapata namba yako kama ulijisajiri
Asante mkuu,ngoja nami nifuatilie.Nimeenda leo tigo nina namba mbili. Moja wakaiorodhesha ni primary na ile ya pili inafuata. Zote nimeweka alama za kidole kusajili. Kila moja natumia kwa kazi tofauti yaani ktk modem ya laptop na mara nyingine kama simu ya nyumbani na hiyo ya kwanza matumizi yangu ya kawaidacya mawasiliano. Nimeona wengine wanaorodhesha 4 tano nk
Kwan ni lazima uende na hizo lain zote atakama nyingine ni kwa matumizi ya nyumban tu?Gluk , ni lazima urasimishe namba ya primary na secondary. Yaani hiyo ya secondary kama unatumia kwa matumizi ya ziada kama huduma za fedha, simu za ofisi, biashara na au kwenye vifaa vingine kama modem, rooter, CCTV nk...
Voda unazo ngapi na tigo ngapi?Mbona mimi nimerasimisha vizuri tu na imekubali voda na tigo?
Free, hawalimit uwe na moja maana wanajua matumizi ni mengi mfano simu, modem,Mimi nilidhani wana-limit uwe na namba moja kwa kila mtandao...kumbe hata zaidi ya moja..!!
Kwahyo kuna pesa yoyote uliyolipia kwa hyo operation au ni free..?