gachacha JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,584 Reaction score 3,977 Jul 27, 2020 #21 Hii ya kurasimisha no ata mwenyewe unaweza ukiwa umelala kazi ndogo sana
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 Jul 27, 2020 #22 Unarasimisha vitu gani,kwani laini zote mtu anasajili kwa kutumia kitambulisho cha NiDA. Mitandao ya simu ipeleke orodha ya wateja wao huko TCRA na namba zao hata ziwe 5.
Unarasimisha vitu gani,kwani laini zote mtu anasajili kwa kutumia kitambulisho cha NiDA. Mitandao ya simu ipeleke orodha ya wateja wao huko TCRA na namba zao hata ziwe 5.