Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

Belleringal

Member
Joined
May 25, 2020
Posts
83
Reaction score
155
Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
 
Man city tutampiga pampu mbili zenye presha ya kutosha...Pep atakimbilia kunywa pep siku hiyo.
 
Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa arsenal under Mikel arteta dhidi ya MANCHESTER CITY
Mikel Arteta hiyo siyo mechi yake ya kwanza akiwa arsenal
Ok sijaweka vizur hapo ....what nimemaanisha is against city
 
FB_IMG_1590690039639.jpg

Point 3 muhimu zisizokuwa na ubishi.!
 
Back
Top Bottom