Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
Sana aseCorona itatuharibia soka, ila hizi timu zote zinacheza don't touch ball yaani pass master classic , so nahis mpira utakua mzuri sana
Arsenal hawez piga pass kwa blue moon.Corona itatuharibia soka, ila hizi timu zote zinacheza don't touch ball yaani pass master classic , so nahis mpira utakua mzuri sana
Itakua ni shabiki wa Man u ww sio bure hahahaarsenal hawez piga pass kwa blue moon
unanitukana sheheee
Ok sijaweka vizur hapo ....what nimemaanisha is against cityIkumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa arsenal under Mikel arteta dhidi ya MANCHESTER CITY
Mikel Arteta hiyo siyo mechi yake ya kwanza akiwa arsenal
Wewee nyumbu utapata tabu!!!Sioni Arsenal akitoka salaama katika hii game