Ikiwa kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu sana ni JACKIE CLIFF kuachiliwa jela alikofungwa kule China.
Sema atahit headlines Sana akirejea bongo alafu wengi tumejipanga kuenda kutafuta kick pale. Kwanza nishamfollow insta [HASHTAG]#HataMimiHapaNajiandaaNaProposal[/HASHTAG]
[HASHTAG]#CoupleYetuItatishaSanaTown[/HASHTAG]