Sio mtaalamu wa simu lakini naamini hiyo inbuilt memoryHellow wana JF!!
Jamani nina simu aina ya NOKIA 6120 Classic ambayo ina 35MB Free User memory (Internal Phone Memory; C.).
Ajabu ni kwamba, wala sijasevu vitu vingi zaidi ya contacts,sms na baadhi ya applications ambazo zote kwa ujumla hata hazifiki 10MB,..lakini eti nikiangalia Memory iliyo baki ni 2.7Mb tu.
Sasa hii memory nyingine imechukuliwa na kitu gani?..nime-delete/kuhamishia vitu kibao kwenye memory card lakini wapi..sasa sijui tatizo ni nini...NISAIDIENI KUTATUAHILI TATIZO JAMANI!!!
Unaweza kwenda kwenye www.samwep.com then software utakuta s60v3 software hapo kuna n73 n82 n95 nk angalia kwa juu utakukuta xplore v1.05 idownload. Ikikataa badilisha mwaka weka 2007-2009.
Karibu sana mkuu... Tunashukuru umerudi kuja kutupa feedback ya kile ulichoelekezwa hapa, wengi wakisaidiwa hapa hawarudi kuja kutupa matokeo ya kile tulicho wafundisha na hii imefanya baadhi ya watu washindwe kutoa mawazo yao hapa.Nashukuru kwa kunielekeza kufungua DotSIS.....pamoja na maelekezo mengine.
Solution nimeipata hapa hasa reply namba 4....inayosema ''Just press 4 in xporer mark all then del,if not solved reset ur phone using the code*#7370#''.
Baada ya kuingiza code hiyo na password,cm ilil restart na kurudisha settings za mwanzo ilipokuwa mpya. Ilifuta data zote zilizokuwa zimebaki kwenye phone mem..lakini si kitu kwakuwa nilikuwa na backup. Sasa free memory imerudi kuwa 37MB na used memory ni 6.4MB tu!
Thanks cc_africa!!