Kurekodi na kusikiliza mazungumzo na mpenzo wako kama wimbo

Kurekodi na kusikiliza mazungumzo na mpenzo wako kama wimbo

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Ni kipi chema kama upendo?
Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana.
Unakua unahisi kama vile yuko karibu au mnaongea, now we are together,

AE1gh3.jpeg
i am her and she is me.
 
utoto raha sana,kuna mda utafika we mwenyewe utajishangaa ulikuwa unafanya nini?miaka 30 upate mda kwa kuanza kusikiliza voice note?
Depends on what you do daily and where you are, most of my work is on table and alone or two, why not? I do listen.
 
Nakukumbusha tu kuwa "distant love kills" isije kufika wakati tukakutana na thread ya mwana JF Mwenzetu kajinyoga,,take care bro.
 
Back
Top Bottom