Kuresit form four na form six mwisho mara ngapi?

la fiesta

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
78
Reaction score
37
naomba wadau mnijuze kurisit form four na form six mwisho mara ngapi.
 
naomba wadau mnijuze kurisit form four na form six mwisho mara ngapi.

kuna haja gani yakuendelea kuresit mara nyingi hivyo? Kusoma sio fani ya kila mtu. Kuna wengine kitabu huwa kina wakataa lakini ni wazuri katika field nyingne. Soory nimeenda offtopic
 
Re sit as many times as you can, no limits
 
Nenda kasome certificate alafu diploma then digree kureset unapoteza mda wako 2 bure coz unaweza rist mara nying uwezavyo.
 
asanteni kwa ushauri, kuhusu kusoma certificate sina mda kwa kababu naingia job asubuhi saa 2 hadi saa 12jioni na napumzika jumamosi tu, na siwezi acha kazi najitegemea kimaisha so miaka inazidi kwenda naona bora niresit form 4 natafuta credit moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…