Kurestore old what's app messages

Kurestore old what's app messages

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau wa Tech kwemaa!!

Nauliza je kuna technique ya kurejesha messages za mtandao wa kijamii wa what's app tofauti na ule tuliozoea unapo install what's app ipya ktk simu yako.

Anaye fahamu hizo tech pls share, simu yangu imeshindwa ku restore baadhi ya contacts ambazo siku save ila mamba hizo niliwah kuchat nazo what's app kitambooo sanaa na niliwahi kufanya back up kabla ya back up ya mwisho
 
Back
Top Bottom