Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini kurinyuu laini ni ngumu sana kuliko kusajili laini mpya?? Nawaza mengi katika hili maana kurinyuu laini mpaka uende Police ukapate barua ya Polisi na maswali kibao
Hajui siku hizi line ndio akaunti za bank. Upewe kirahisi akaunti ya mtu yenye kiasi kikubwa cha Pesa. Afuate taratibuhujiamini kwenda polisi?
Laini mpya wana mamlaka nayo, anayepewa mpya ni mhusika against vitambulisho vyake n.k
Rinyuuu waweza kuwa creminal? Wataja iba namba? N.k so muhimu wajihakikishie ni wewe kweli? Unaye rinyuuu??