Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Najaribu kufanya kautafiti; Kuhusu maziwa ya mama kwa mtoto.
Inaonekana, katika unyonyeshaji, huwa kuna vitu hutoka kwa mama kwa njia ya maziwa, ambavyo mtoto anarithi kiubinadamu.
Sasa najiuliza; tunapowapa watoto maziwa ya ng'ombe, mbuzi n.k ina maana watoto wetu, wanaenda kurithi viasili vya hao wanyama, iwe ng'ombe au mbuzi n.k
Wakuu, mnasemaje kuhusu hili jambo?