Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakati Lazaro Nyalandu anahama chama chake cha CCM kwenda CHADEMA alijdhihirisha kama mmoja wa watu wenye uelewa mkubwa na mpana wa namna mihimili ya serikali yetu inavyoingiliana na kutatiza nchi kusonga mbele kwa kasi kimaendeleo, uhuru na demokrasia kama inavyostahili.
Kurudi kwake CCM inaweza kuwa ni mchango wowote katika upatikanaji wa katiba mpya ikizingatiwa hilo lilikuwa ni mojawapo ya madai yake makuu kujitoa chamani?
Anaweza kuhamasisha na utumika katika mchakato huo.Tumpe muda.