Omulangi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 1,036 Reaction score 267 Aug 20, 2016 #1 Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?
Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?