Kurudia Darasa

Devla

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
74
Reaction score
13
Jamani Wa Wana Jf Nina Mdogo Angu Kapata Ziro Form Four Sa Nataka Arudie Shule Hv Akirudia Form 3, Si Kuna Uwezekano akaja Fanya Vzr Au Mpaka Aanzie Fom 2?
 
Yah mkuu cha muhimu mtafutie shule ya mazingira mazur ya kujisomea.
 
Jamani
Wa Wana Jf Nina Mdogo
Angu Kapata Ziro Form Four Sa Nataka Arudie Shule Hv Akirudia Form 3,
Si Kuna Uwezekano akaja Fanya Vzr Au Mpaka Aanzie Fom 2?

Wala sio mdogo wako,ni wewe mwenyewe mkuu.Hata matumizi ya herufi kubwa
huyafahamu eti umsingize mdogo wako..!?Anyway,wewe unadhani hiyo zero
aliipata kwa bahati mbaya tena hata baada ya kurekebisha matokeo?Unakunywa
bia?
 
It seems your brain contains a soil water there by does not function well,shortly, you are not educated,or,you are undergoing primitive evolution.kuwa makin kama huna constructive comments kalale.
 
Acha ujinga mkuu sio fair.
 
It seems your brain contains a soil water there by does not function well,shortly, you are not educated,or,you are undergoing primitive evolution.kuwa makin kama huna constructive comments kalale.

Mwisho wa kunukuu
 
It seems your brain
contains a soil water there by does not function well,shortly, you are
not educated,or,you are undergoing primitive evolution.kuwa makin kama
huna constructive comments kalale.

what abt u?
hv unafikiri zero inakuja kwa bahati mbaya?
....KAMA HUNA CHA KUONGEA KALALIWE...
 
Acha
ujinga mkuu sio fair.

fine boss,but a man have to knw dat dv zero cant be dv three in
anyhow,labda wakanunue mitihani.
na pia kupata zero hakumaanishi kuwa dogo ni useless,anaweza akamtafutia
ishu nyingine na mambo yakawa pouwa tu,nilitegemea angeulza hvo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…