@Wababa, utaratibu wa sasa wa NECTA kuresit, lazima urudie na ufanye masomo saba, na kumbuka pia, mitalaa ya O-level imebadilishwa, kwa hiyo wala usiobabaike na hii kitu, bado QT inasaidia sana, binafsi, nilikuwa nikiwafundisha wafanyakazi wa ngazi tendaji chuo fulani hapa jijini, ni watu wazima sana na wana majukumu ya kifamilia na ndoa, hawa nilikuwa nakutana nao wakishatoka madarasa ya QT na ninakuwa nafanya brushing tu, zaidi ni kuwa na utayari na huu mwaka tunaoenda kuukaribisha unaweza kuwa ni mwaka wako wa baraka na mafanikio