Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
423
Reaction score
424
Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete
latest-listing_01.png
'
 
Files zote. picha, video, muziki na dokument. App nimeitengeza mwenyewe. Pia play store hawaruhusu kuweka spyware playstore
 
Iko poa niliwahi itumia kwenye pc inaitwa recuva, kipindi hicho ni mwanachama mtiifu wa kile chama cha dronedrake . Nafuta files zote za zile uchafu alafu baada ya siku mbili tatu mzuka ukipanda naingia recuva narudisha zile file naangalia uchafu nikimaliza ni majuto na nayafuta tena huku nikila viapo vya kutokurudia.
 
Nili uninstall Whatsapps yangu kwa bahati mbaya lengo lilikuwa ku update nikakosea touch bottom.. baada ya kuinstall ikapoteza data zangu za zamani je hii apps inaweza kurudisha data zangu ?
 
Back
Top Bottom