Zipi hasa Faida na Hasara za hiyo Application?Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'UndeleteView attachment 3212187'
without back up nopeNili uninstall Whatsapps yangu kwa bahati mbaya lengo lilikuwa ku update nikakosea touch bottom.. baada ya kuinstall ikapoteza data zangu za zamani je hii apps inaweza kurudisha data zangu ?
Tatizo sikuweka back up setting hicho ndicho kilichoni cost..without back up nope
RihTatizo sikuweka back up setting hicho ndicho kilichoni cost..