Kurudishia hela AliExpress na ebay

Kurudishia hela AliExpress na ebay

Shushumara

Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
29
Reaction score
10
Wanajamvi naomba mnisaidie kunielewesha nimenunua vitu AliExpress muda wakuvituma umepita mzigo sijapata je nazidai kwa kutumia njia gani wanirudishie
eBay pia nimenunua vitu seller amecancell je nafanyaje hela yangu warudishe.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Mwezi mmoja. Nimetrack ndege imekuja Tanzania mzigo haupo. Lingine eBay mzigo mmoja wamecancell je hawasumbui kurudisha hela.
 
Huku eBay Kama seller haleti mzigo Tanzania anakuambia badilisha address sijui ship inakuwaje hapa maana wengine ndio tunajifunza funza kuagiza vitu. Unakuta kitu unakitaka unakutana na kikwazo Kama hicho.
 
Back
Top Bottom