Wanajamvi naomba mnisaidie kunielewesha nimenunua vitu AliExpress muda wakuvituma umepita mzigo sijapata je nazidai kwa kutumia njia gani wanirudishie
eBay pia nimenunua vitu seller amecancell je nafanyaje hela yangu warudishe.
Huku eBay Kama seller haleti mzigo Tanzania anakuambia badilisha address sijui ship inakuwaje hapa maana wengine ndio tunajifunza funza kuagiza vitu. Unakuta kitu unakitaka unakutana na kikwazo Kama hicho.