Kurudishiwa maendeleo nyuma

Kurudishiwa maendeleo nyuma

lovebitelol

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
964
Reaction score
972
*Jana Mchepuko wangu kanipigia simu[emoji338] na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue, mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 usiku kaondoka kwenda kwao*.

*Huku nyuma mimi nikavaa mkoti mrefu na maski [emoji318]nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele, kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza muda nikampiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu, kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote![emoji21] nikamwambia arudi nije nimpe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho[emoji23]ikatiki[emoji736]*

*Maswala yakurudisha maendeleo nyuma hakunaga tena aisee*[emoji124][emoji124]
 
sawa ila kuwa makini angepiga kelele ndiyo ungejua raia wana hasira kiasi gani hasa kipindi hiki.
 
So unajiona mjaaanja si ndio????[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] we mwanaume umeshindwaje kumwambia sikupi hela ukitaka nunua simu ya laki nne hutaki basi........
Kilichokututumua mpaka ukamkabe sijui roba sijui kabari kama sio ujuha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Jana Mchepuko wangu kanipigia simu[emoji338] na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue, mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 usiku kaondoka kwenda kwao*.

*Huku nyuma mimi nikavaa mkoti mrefu na maski [emoji318]nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele, kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza muda nikampiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu, kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote![emoji21] nikamwambia arudi nije nimpe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho[emoji23]ikatiki[emoji736]*

*Maswala yakurudisha maendeleo nyuma hakunaga tena aisee*[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom