Ndio hadithi zao hizo. Uongo wa serikali ya Magufuli hadi unatia kinyaa.Uwajibikaji sekta ya utumishi wa umma umeongezeka, siyo?
Ameongoza kura za maoni butiama kupitia chama dume. Anakuja kivingine sasa.Laki 6 watakuwa wamempata mhusika kabisa. Mimi jamaa yangu alitoa milioni moja kuhama , baaada ya barua yake kukaliwa kwa miaka 3. Umenikumbusha Comrade Jumanne Sajini wapi kijana yule kwa sasa?
Litakuwa limehonga wajumbe kwa fedha chafu alizokuwa akipewa wizarani kabla ya kutumbuliwa.Hili jamaa jumanne sajini kapita kura za maoni huko kwetu butiama shenzi kabisa