Uchaguzi 2020 Kurugenzi ya Ikulu imechagua upande katika kampeni? Inashawishi watu wamchague Mgombea wa CCM, Dkt. Magufuli

Kwani ikulu yupo nani? Mnajua maana ya chama kushika hatamu?
 
Hawa wote watang'olewa baada ya anaowatuma kung'olewa
 
Ccm ishakuwa Kama gonjwa la kansa.. hata bunge la Dr ndugai lilikuwa hivo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…