Kuruhusu Dowans wauze mitambo ni uhuni wa kisiasa!!


hizo in boldzi ndio wanazozihitaji ccm kwa uchaguzi mwaka huu?
 
jamani eee! hebu tuwe specific! walishauri watu mitambo inunuliwe na serikali watu wakaema haiwezekani kwa kuwa eti ni mitambo ya fisadi, sasa wenye mitambo yao wameuza kelele so mlichotaka mitambo hiyo ifie ubungo siyo au? yanakuwa yale yale ya nyoka wa mdimu yaani nyoka anayekaa kwenye mti wa mdimu ambaye yeey hali ndimu lakini akiona mtu anataka kuchuma ndimu anamgonga hadi kifoooo1 tuache hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…