Hapa naona umechanganya vitu viwili ana vitatu na ukishindwa kutambua kipi ni kipi....Hii ishu ya kuruka stegi huwaga na pingana nayo hasa upande wa umalaya,mwengine anaamini kabisa kama ujanani hujawagonga sana wanawake uzeeni utawagonga sababu umeruka stage ujanani ni uongo.Nakumbuka nilikaa na mzee mmoja hapa mtaani alikuwa ananipa stori za wazee wa mtaani ,nilichogundua kama ulikuwa malaya basi kadri unavyokuwa ndio unakuwa malaya sana hata ukioa (watu wengi walio oa wanafanya kwa siri sana na siku ukigundua utashangaa) na hata ukizeeka utaendelea tu ,sababu tabia ya umalaya ipo kwenye damu.Kama uliweza kujicontrol ujanani nazani uzeeni itakuwa kazi rahisi,lkn kama ulishindwa kujicontrol ujanani ni ngumu kuacha umalaya.Hiyo ishu ya kuruka stegi labda uapply maeneo mengine,lkn hili eneo ni uhakika 100% nipo sawa
katika jamii tunayoishi mshana,vijana wanaamini moja ya vitu ambavyo vinaonyesha unautumia vizuri ujana wako,basi ni kuwa bingwa wa kubadilisha wasichana,vijana wengi wanaamini ni kama ni moja ya stegi ambayo hutakiwi kuiruka na kama ukiwa mwanamke mmoja au ukichelewa kudate au kukutana kimwili wanaamini,basi huko mbeleni lazima utakuwa mgongaji.Ndio nilichokuwa namaanisha na imejengeka hivyo na tukiendekeza haya mawazo tutakufa mapema magonjwa mengi.Hapa naona umechanganya vitu viwili ana vitatu na ukishindwa kutambua kipi ni kipi....
. kuruka stage
. mazoea/tabia
. hulka/tamaa ya ngono inayoambatana na pepo
Barikiwa sana,hauburuzwi na mwili ila unauburuza mwili,Watu huwa wananiambia kuwa nimeruka stage cz wakat nasoma nilikua sina muda wa kwenda club na kufanya mambo ambayo wadada wengine wanafanya.
Lakin niliwaambia hakuna kuruka stage na wala hakitanirudia hata mara moja labda Mungu wangu aliye hai awe amekufa kwa muda huo
Nipo nadundika tu na nipo young kuliko wao ingawa umri umeenda
Ukiwaona wao sasa kama wazeee; et walikua ktk stage; sio kila kitu wanachopitia inabid upitie cz vingine ni hatari
Marafiki wanaweza kukufanya ukapitia vitu sivyo kabisa et usiruke stage kwenye ndoa utakua utarudia maliza vyote.
Inategemea na stage ipi.
Mm sitegemei kurudia stage mbovu nasonga mbele tu
Big up sana ndug umesomek Ile IleBarikiwa sana,hauburuzwi na mwili ila unauburuza mwili,
Ndo kanuni yangu pia,ukiutumia vibaya mwili wa ujana unakaribisha uzee goi goi,
Uiendekeza anasa za ujana unazeeka ukiwa na miaka 30 tu
CC : Chamdeko my lovely soul
ππππ Safi sana !!Watu huwa wananiambia kuwa nimeruka stage cz wakat nasoma nilikua sina muda wa kwenda club na kufanya mambo ambayo wadada wengine wanafanya.