Kurundika mtaani 'ma-jobless' ambao wana taaluma zao kutaitoa CCM madarakani, ni suala la muda tu

Kurundika mtaani 'ma-jobless' ambao wana taaluma zao kutaitoa CCM madarakani, ni suala la muda tu

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
75% ya graduate wote wa tangu 2015+ wapo mtaani no ajira vijana wanamachungu sana

Tatantarira za CCM zinakua nyingi huku wakirundika vijana mtaani bila kazi. Zaidi watu milion moja wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka halafu wanaoajiriwa hata elfu 50 hawafiki. Vijana wanajazana humo UVCCM wakizani watapata favor ya ajira lakini wapi.

Miaka 10 iyayo patakua na nyomi la jobless ambao wataichomoa hi CCM madarakani.

Nchi za Ulaya pametulia kwa sababu majority ya vijana wanaajira rasmi.
 
Wakati CCM wanapambana na VYAMA VYA UPINZANI ili waendelee kula KEKI YA TAIFA wanasahau kwamba kuna VIJANA wanamwagwa MTAANI kutoka MASHULENI..

Wanawaambia wajiajiri wakati MIUNDO MBINU RAFIKI KWAO hakuna,,, kwa nchi yetu hii KILIMO kilitakiwa kiwe ndo AJIRA kubwa kwakuwa ndo UTI WA MGONGO kama tunavyokiita.. Lakini KILIMO chenyewe hakipewi MKAZO wowote.

BANGALADESH tunayaona, hapa KENYA jirani tu tumeyaona...
 
Vijana anzeni kuangalia fursa nje ya nchi msirundikne bongo maana kila kitu ni rahisi sana siku hizi kupitia mitandao
 
75% ya graduate wote wa tangu 2015+ wapo mtaani no ajira vijana wanamachungu sana

tatantarira za ccm zinakua nyingi huku wakirundika vijana mtaani bila kazi
.zaid watu milion moja wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka halafu wanaoajiriwa ni hata elfu50 hawafiki.
vijana wanajazana humo UVCCM wakizani watapata favor ya ajira lakini wapi


miaka 10 iyayo patakua na nyomi la jobless ambao wataichomoa hi ccm madarakani.

nchi za ulaya pametulia kwa sababu majority ya vijana wanaajira rasmi
Niliwahi andika kuhusu hii!!

Sio kwamba Akira hamna, zipo Hawataki kuajiri wajilipe maposho na mapesa wale na watoto wao!

Cha msingi watafute asylum mapema wake watoroke nchi!

Akira za mikataba zingesaidia sana!
 
Jana gulioni niliona mdada anauza soda na maji aligraduate education miaka iliyopita.Niliwaza jambo kama hilo hapo juu.
Hao ndio watawagaragaza
 
Back
Top Bottom