Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Niliwahi andika kuhusu hii!!75% ya graduate wote wa tangu 2015+ wapo mtaani no ajira vijana wanamachungu sana
tatantarira za ccm zinakua nyingi huku wakirundika vijana mtaani bila kazi
.zaid watu milion moja wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka halafu wanaoajiriwa ni hata elfu50 hawafiki.
vijana wanajazana humo UVCCM wakizani watapata favor ya ajira lakini wapi
miaka 10 iyayo patakua na nyomi la jobless ambao wataichomoa hi ccm madarakani.
nchi za ulaya pametulia kwa sababu majority ya vijana wanaajira rasmi