Pre GE2025 Kuruthumu Issa ashinda uenyekiti UWT Mkoa wa Lindi kwa kura 323

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Leo, tarehe 15 Machi 2025, Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa, ambapo wagombea watatu walijitokeza kugombea nafasi hiyo. Wagombea hao walikuwa Bi. Asha Abdallah, Bi. Fauzia Chiangu, na Bi. Kuruthumu Issa Lunje.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika uchaguzi huo, Bi. Asha Abdallah alipata kura 10, Bi. Fauzia Chiangu alipata kura 50, na Bi. Kuruthumu Issa Lunje aliongoza kwa kura 323 na kushinda nafasi ya mwenyekiti.

Msimamizi wa uchaguzi, Bi. Halima Mabuya, alimtangaza Bi. Kuruthumu Issa Lunje kama Mwenyekiti mpya wa UWT Mkoa wa Lindi baada ya matokeo kutangazwa rasmi.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…