Kusadikika

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Nijuzeni ni kipindi gani/wakati gani riwaya ya kusadikika iliandikwa? Ma2kio ya wakati huo yaliyoambatana na kusadikika
 
Shaaban Robert aliona mbali sana.
Matukio aliyoandika mule yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo kwa nchi zetu za Afrika hususani Tanzania.
 
Hapana mkuu, tuunge mkono kazi za sanaa kwa kununua vitabu.
Kanunue kopi yako mkuu.

mmmh................. haya mkuu, naona umekuwa mkali kweli.................... ngoja basi nikirudi bongo nitajitahidi kujipigapiga .................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…