kusafiri/kutembea na fedha nyingi

kusafiri/kutembea na fedha nyingi

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
hivi jamani kuna sheria inayokataza mtu kutembea au kusafiri akiwa na fedha nyingi cash mfano anapoenda kupanda ndege, maana nimeshasikia baadhi ya watu wakizuiliwa kwenye viwanja vya ndege mara baada ya kugundulika kuwa wamebeba cash nyingi kwenye brief_cases zao.
 
Ndio ipo sheria ya aina hiyo. Nafikiri ni money laundering relating law. Huwa kuna limit ya cash unayoweza kusafiri nayo kwenda nje. Limit ikizidi itakubidi utoe ushahidi kudhibitidha kuwa hizo pesa ni zako na kama umezipata kihalali
 
Back
Top Bottom