hivi jamani kuna sheria inayokataza mtu kutembea au kusafiri akiwa na fedha nyingi cash mfano anapoenda kupanda ndege, maana nimeshasikia baadhi ya watu wakizuiliwa kwenye viwanja vya ndege mara baada ya kugundulika kuwa wamebeba cash nyingi kwenye brief_cases zao.