Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Wadau kwa Mara nyingine salaam.
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza bidhaa za stationary kwa bei ya jumla,
Kabla ya kuanza nataka kwanza nisafiri nchini China nifanye survey ya bidhaa hiyo na gharama zake kisha nione kama nitapata faida.
Naomba kujua gharama halisi ya nauri na cost za kuishi uko hotelini na kana kuna mwenye uzoefu wa kwenda China kwa bidhaa yoyote anisaidie
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app