Hello, cost ya usafiri inategemea na msimu. Kuna high season na low season bei zinakuwa tofauti.
ILA ticket ya kwenda inaweza kuanzia 900,000-1,500,000
Hotel kwa siku ni 100¥ hii ni lowest price ambayo ni Tsh 35,000 kuna mitaa ya waafrika kabisa, huku unaweza pata hotel kwa bei nzuri.
Chakula unapata kwanzia ¥25
For more info please contact me
WhatsApp +8618857052304
Mimi nasoma huku China na pia nafanya biashara ya kufungia mizigo wateja wa jumla
Check my Instagram page @panda_sourcing