Kusafirisha asali nje ya nchi

Kusafirisha asali nje ya nchi

len

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
204
Reaction score
128
Wakuu habari za leo. Ninahitaji asali kama kiasi cha kilo kumi kwenda Ulaya. Nimekwenda posta wameniambia wao hachukui vimiminika. Naombeni msaada wakuu, njia ipi niitumie kusafirisha hii asali? Natanguliza shukrani zangu.
 
Kama ni kwa matumizi tu na sio biashara,jaribu kuwasiliana na mawakala wa usafiri wa anga (kama utatumia ndege kusafirisha) wakupatie maelekezo na garama,na taratibu za kufuata...kwa sababu utasafirishwa kama mzigo tu.
 
Asante sana kiongozi, nitajaribu kufanya hivyo
 
Kama Nataka kusafirisha nje kibiashara, procedures zipoje?? Na gharama zake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom