hi wandugu,
Naomba kuulizia ,Ninataka kusafirisha vitu vyangu hapa USA kuvileta Arusha nyumbani
kama kuna mtu ambaye ameshawahi kusafirisha container kutoka hapa USA to Mombasa Kenya alitumia Kampuni gani?please kama yupo basi anipatie hiyo web site yao.
my contact
persorn email richardnguma@gmail.com