Kusafirisha kuku kutoka mbali bila kuathiri afya zao

Kusafirisha kuku kutoka mbali bila kuathiri afya zao

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,849
Reaction score
2,132
kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji..
Tafadhali naomba ushauri wenu.. ndio naanza kufuga kuku hawa, nimeagiza wa kuanzia kutoka mkoani.. (Niko dar kuku nawachukua Rombo - kilimanjaro).

Naweza kuwasafirisha kwa njia gani nafuu na ya uhakika ili waweze kufika salama?
 
Huwa naona watu wakiwaweka kwenye matenga.. Chini wanatandaza Boksi. nadhani ni njia mujarabu, ila wasibanane sana...

All the best neggirl..
 
Last edited by a moderator:
Huwa naona watu wakiwaweka
kwenye matenga.. Chini wanatandaza Boksi. nadhani ni njia mujarabu, ila
wasibanane sana...

All the best neggirl..

TANMO asante kwa ushauri wako, shida yangu hasa.. ni kujua usafiri upi ndio mzuri.
Ni kwa mabasi ya abiria, au magari ya mizigo au yapi hasa ?
coz nimejaribu kuongea na watu wa mabasi ya abiria naona hawaonyeshi ushirikiano mzuri kabisa.. wengine wananiambia watakufa kwa kukosa hewa.
 
Mabasi ya Abiria ni changamoto kutokana na ukweli kuwa utalazimika kuwaweka kwenye Buti ambapo hamna hewa.
Magari ya mizigo ni mujarabu kwa hii shughuli, ila usiwaweke mahali ambapo watakuwa wanapigwa sana na upepo.
 
okey.. asante sana.
Ngoja nisubiri na ushauri wa wengine.
 
No Kuna Baadhi ya Mabasi Buti zao zinaingiza hewa bila shida, Ila ni lazima uwaulize Makonda au matingo, Ila Kuna Basi Moja na NICATCO ni la kichina na lina Engennyuma Buti zake ni best kwa sababu zina IC na zinafanya kazi na unaweza safirisha mizigo, Ila hata hizi U tong zina IC kwenye but ila hawawezi washa kamwe.
 
No Kuna Baadhi
ya Mabasi Buti zao zinaingiza hewa bila shida, Ila ni lazima uwaulize
Makonda au matingo, Ila Kuna Basi Moja na NICATCO ni la kichina na lina
Engennyuma Buti zake ni best kwa sababu zina IC na zinafanya kazi na
unaweza safirisha mizigo, Ila hata hizi U tong zina IC kwenye but ila
hawawezi washa kamwe.

thax sana mkuu.. umenifumbua macho, coz kuna jamaa niliongea nae akakataa kwa kusema buti lake halipitishi hewa.. mm nikaingiwa na hofu nisije kufikisha wote mizoga. barikiwa sana.

nilikumention katika post ya mkuu kubota nikiomba ushauri kuhusiana na hili.. nilisahau kama umebadili jina aisee.
 
kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji..
Tafadhali naomba ushauri wenu.. ndio naanza kufuga kuku hawa, nimeagiza wa kuanzia kutoka mkoani.. (Niko dar kuku nawachukua Rombo - kilimanjaro).

Naweza kuwasafirisha kwa njia gani nafuu na ya uhakika ili waweze kufika salama?

angalia basi lenye but linalopitisha hewa au kama ni vp tafuta basi unaloona halina abiria weng yaan sio luxuly then nunua siti ya nyuma yote utasafirisha bila kukera abiria
 
thax sana mkuu.. umenifumbua macho, coz kuna jamaa niliongea nae akakataa kwa kusema buti lake halipitishi hewa.. mm nikaingiwa na hofu nisije kufikisha wote mizoga. barikiwa sana.

nilikumention katika post ya mkuu kubota nikiomba ushauri kuhusiana na hili.. nilisahau kama umebadili jina aisee.

Ya nisha wahi beba mara kibao ifaranga kwenye but na wanafika bila shida, Buti nyingi gari ikiwa inatembea hewa inaingia mbaya ni ile linakuwa limepaki hewa inaingia kwa shida ila kama basi linatembea basi hewa huwa inaingia bila shida kabisa.
 
angalia basi lenye but
linalopitisha hewa au kama ni vp tafuta basi unaloona halina abiria
weng yaan sio luxuly then nunua siti ya nyuma yote utasafirisha bila
kukera abiria

mkuu asante sana kwa wazo lako la kununua siti.
 
Ya nisha wahi
beba mara kibao ifaranga kwenye but na wanafika bila shida, Buti nyingi
gari ikiwa inatembea hewa inaingia mbaya ni ile linakuwa limepaki hewa
inaingia kwa shida ila kama basi linatembea basi hewa huwa inaingia bila
shida kabisa.

nimekusoma best. Pamoja sana
 
Back
Top Bottom