Huwa naona watu wakiwaweka
kwenye matenga.. Chini wanatandaza Boksi. nadhani ni njia mujarabu, ila
wasibanane sana...
All the best neggirl..
TANMO asante kwa ushauri wako, shida yangu hasa.. ni kujua usafiri upi ndio mzuri.
Ni kwa mabasi ya abiria, au magari ya mizigo au yapi hasa ?
coz nimejaribu kuongea na watu wa mabasi ya abiria naona hawaonyeshi ushirikiano mzuri kabisa.. wengine wananiambia watakufa kwa kukosa hewa.
Mabasi ya Abiria ni changamoto kutokana na ukweli kuwa utalazimika kuwaweka kwenye Buti ambapo hamna hewa.
Magari ya mizigo ni mujarabu kwa hii shughuli, ila usiwaweke mahali ambapo watakuwa wanapigwa sana na upepo.
No Kuna Baadhi
ya Mabasi Buti zao zinaingiza hewa bila shida, Ila ni lazima uwaulize
Makonda au matingo, Ila Kuna Basi Moja na NICATCO ni la kichina na lina
Engennyuma Buti zake ni best kwa sababu zina IC na zinafanya kazi na
unaweza safirisha mizigo, Ila hata hizi U tong zina IC kwenye but ila
hawawezi washa kamwe.
kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji..
Tafadhali naomba ushauri wenu.. ndio naanza kufuga kuku hawa, nimeagiza wa kuanzia kutoka mkoani.. (Niko dar kuku nawachukua Rombo - kilimanjaro).
Naweza kuwasafirisha kwa njia gani nafuu na ya uhakika ili waweze kufika salama?
thax sana mkuu.. umenifumbua macho, coz kuna jamaa niliongea nae akakataa kwa kusema buti lake halipitishi hewa.. mm nikaingiwa na hofu nisije kufikisha wote mizoga. barikiwa sana.
nilikumention katika post ya mkuu kubota nikiomba ushauri kuhusiana na hili.. nilisahau kama umebadili jina aisee.
Ya nisha wahi
beba mara kibao ifaranga kwenye but na wanafika bila shida, Buti nyingi
gari ikiwa inatembea hewa inaingia mbaya ni ile linakuwa limepaki hewa
inaingia kwa shida ila kama basi linatembea basi hewa huwa inaingia bila
shida kabisa.