Kusafirisha mahema toka Urusi mpaka Tanzania

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari zenu.?

Naomba kujua na kupata mawasiliano kwa kampuni yeyote inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo toka nchini Russia.
Ninahitaji kusafirisha mahema kama 5-10,pia na sleeping bags kadhaa.

Mji vinayotoka vitu hivyo ni Stavropol na vinatakiwa vije Arusha au Tanga.
Kwa yeyote anayejua kampuni inayofanya kazi hizo halikadhalika yenye gharama nafuu anijulishe kwa kuni PM.

Asanteni sana.
 
Jaribu kucheki na Emirates Skycargo, wana Cargo Planes ambazo husafirisha mizigo hadi Bongo na gharama zao ni nzuri. Ukishindwa kupata Flight ya JKNA basi shushia mizigo yako NBO kisha utumie Basi kuleta mizigo yako Bongoland..
Emirates SkyCargo - Home
 
Nimeingia kwenye website yao,ila sijaona kama kuna uwezekano wa kutua/kutoa mzigo huo Urusi hadi JRO/JNIA. Mwenye mawazo mengine anisaidie tafadhali.
 
Umejaribu kuwasiliana na DHL, japo gharama zitakuwa juu kidogo lakini naamini hizo hema nadhani ni za kukunja na kuweka kwenye mabox.
 
Asante nitafanya hivyo japokuwa najua cost yao itakuwa juu sana, sure mahema yatakuwa ya kukunja na kuweka ndani ya box.!
 
Back
Top Bottom