Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Nimeingia kwenye website yao,ila sijaona kama kuna uwezekano wa kutua/kutoa mzigo huo Urusi hadi JRO/JNIA. Mwenye mawazo mengine anisaidie tafadhali.Jaribu kucheki na Emirates Skycargo, wana Cargo Planes ambazo husafirisha mizigo hadi Bongo na gharama zao ni nzuri. Ukishindwa kupata Flight ya JKNA basi shushia mizigo yako NBO kisha utumie Basi kuleta mizigo yako Bongoland..
Emirates SkyCargo - Home
Nimeingia kwenye website yao,ila sijaona kama kuna uwezekano wa kutua/kutoa mzigo huo Urusi hadi JRO/JNIA. Mwenye mawazo mengine anisaidie tafadhali.
Asante nitafanya hivyo japokuwa najua cost yao itakuwa juu sana, sure mahema yatakuwa ya kukunja na kuweka ndani ya box.!Umejaribu kuwasiliana na DHL, japo gharama zitakuwa juu kidogo lakini naamini hizo hema nadhani ni za kukunja na kuweka kwenye mabox.