Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau salaam,

Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe.

Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo. Kutoka Iringa kuja Dar

Ahsante.
 
Mkuu vp ulipata connection? Tupe mrejesho
 
Watu wanapenda thread za mapenzi...usinisahau mkuu nami nipate walau mbuzi na ng'ombe kadhaa
Ha ha kweli kabisa, kunashida hapa sasa,maada za mapenzi ndio trending! Nitakupa connection ngoja niingie shamba kabisa, napata habari wapo wengi sana.
 
Tuwasiliane mkuu ili nikuunge mkono.
WhatsApp yangu ni 0711 448066.
 
Wadau salaam,

Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe.

Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo. Kutoka Iringa kuja Dar

Ahsante.
Tupeane machimbo ambayo mbuzi wanapatikana
 
mtafute huyu,ni mnunuzi na msafirishaji mzoefu wa mifugo Toka nyanda za juu kusini +255712343454
 
Una leseni ya kusafirisha mifugo?
Kama huna nenda bodi ya nyama ukate leseni ya kitaifa ya kusafirisha mifugo,dharama zake hazizidi laki mbili. Pia kumbuka kuwa na TIN namba,leseni ya mahali pa kufanyia biashara,leseni na halmshauri husika.
Gharama zake zake hazizidi laki 6.
Asante.
 
Back
Top Bottom