Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
Mkuu wangu bado, hapa sijapata msaada nataka niende mwenyewe field kabisa nitakupa update.Mkuu vp ulipata connection? Tupe mrejesho
Watu wanapenda thread za mapenzi...usinisahau mkuu nami nipate walau mbuzi na ng'ombe kadhaaMkuu wangu bado, hapa sijapata msaada nataka niende mwenyewe field kabisa nitakupa update.
Ha ha kweli kabisa, kunashida hapa sasa,maada za mapenzi ndio trending! Nitakupa connection ngoja niingie shamba kabisa, napata habari wapo wengi sana.Watu wanapenda thread za mapenzi...usinisahau mkuu nami nipate walau mbuzi na ng'ombe kadhaa
Mkuu wangu bado, hapa sijapata msaada nataka niende mwenyewe field kabisa nitakupa update.
Tupeane machimbo ambayo mbuzi wanapatikanaWadau salaam,
Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe.
Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo. Kutoka Iringa kuja Dar
Ahsante.
Hili la msingi nami nasubiria majibu.Hivi taratibu za vibari zikoje tupeane uzoefu
Ahsante sana Mkuu wangu, nitakupa mrejesho!mtafute huyu,ni mnunuzi na msafirishaji mzoefu wa mifugo Toka nyanda za juu kusini +255712343454