Kusafirisha mizigo kutoka Indonesia kuja Tanzania

Kusafirisha mizigo kutoka Indonesia kuja Tanzania

kidadaa

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
80
Reaction score
50
Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku.

Natanguliza shukrani kwa msaada.
 
Natanguliza shukrani kwa msaada.
  • Je ni aina gani ya mzigo?
  • Je una ukubwa gani?
  • Je huo mzigo upo kwenye Mji upi?
Lengo ya hayo maswali ni kujua aina ya shipment itakayotumika kama ni
  • See shipping au
  • Air cargo
Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1651128182625.png
 
  • Je ni aina gani ya mzigo?
  • Je una ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom