kidadaa Member Joined Jul 24, 2014 Posts 80 Reaction score 50 Apr 28, 2022 #1 Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku. Natanguliza shukrani kwa msaada.
Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku. Natanguliza shukrani kwa msaada.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Apr 28, 2022 #2 kidadaa said: Natanguliza shukrani kwa msaada. Click to expand... Je ni aina gani ya mzigo? Je una ukubwa gani? Je huo mzigo upo kwenye Mji upi? Lengo ya hayo maswali ni kujua aina ya shipment itakayotumika kama ni See shipping au Air cargo Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
kidadaa said: Natanguliza shukrani kwa msaada. Click to expand... Je ni aina gani ya mzigo? Je una ukubwa gani? Je huo mzigo upo kwenye Mji upi? Lengo ya hayo maswali ni kujua aina ya shipment itakayotumika kama ni See shipping au Air cargo Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
kidadaa Member Joined Jul 24, 2014 Posts 80 Reaction score 50 Apr 28, 2022 Thread starter #3 Mwl.RCT said: nahitaji sea shipping Click to expand... Mwl.RCT said: Je ni aina gani ya mzigo? Je una ukubwa gani? Je huo mzigo upo kwenye Mji upi? Lengo ya hayo maswali ni kujua aina ya shipment itakayotumika kama ni See shipping au Air cargo Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa View attachment 2203351 Click to expand...
Mwl.RCT said: nahitaji sea shipping Click to expand... Mwl.RCT said: Je ni aina gani ya mzigo? Je una ukubwa gani? Je huo mzigo upo kwenye Mji upi? Lengo ya hayo maswali ni kujua aina ya shipment itakayotumika kama ni See shipping au Air cargo Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa View attachment 2203351 Click to expand...
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Apr 28, 2022 #4 Je ni aina gani ya mzigo? Je una ukubwa gani?
K kimyakya mbwele Senior Member Joined Oct 15, 2007 Posts 144 Reaction score 292 Oct 15, 2023 #5 Hello kidadaa je ulifanikiwa kupata kampuni inayosafirisha toka Indonesian mpaka TZ?