Tanzanite klm JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 478 Reaction score 408 Aug 16, 2018 #1 Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Aug 16, 2018 #2 Nasubiri majibu utakayopewa itakuwa ni shule kwangu, sijawahi kutuma hata Sms kwenda huko Botswana!