Kusafirisha mzigo kutoka Mbeya & Kahama

Kusafirisha mzigo kutoka Mbeya & Kahama

blactrader

Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
6
Reaction score
10
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele
Kwa anaejua gharama naomba msaada
 
Habari mkuu. Umesaidika? Gharama mara nyingi huwa ni laki moja kwa tani. Kwa mzigo wa tani 10 unaweza kupata fuso single ikakamilisha kazi yako.
Gari ni nyingi zipo hapo Kahama parking unaweza fika kuulizia
 
Shukran, kutoka mbeya ? Maana kuna mzigo mwingine ni wa mbeya
Kwa Mbeya sifahamu gharama zake hadi Arusha japo huo mzigo ni wa fuso tandam japo haujakamilika kama tani mbili ama tatu. Afike pale Uyole utapata connection zote. Huo wa Kahama ungekua tani 20 ama 18 basi ningeagiza jamaa aje kukubebea kwani gari ipo hapo Katoro imemaliza kushusha ila ni ngumu kupeleka gari Arusha kwa nusu bei
 
Back
Top Bottom