Bungukwetu
Member
- Jan 24, 2017
- 34
- 14
Tafadhali naomba msaada kwawenye uuzoefu au madereva wa malori,nina mzigo nataka kusafirisha kutoka bandarini mpaka Rwanda, ni tani moja na container litafika mwishoni mwa wiki hii.
Ningependa kujua bei kufikisha mzigo huu Rusumo mpakani.
Ningependa kujua bei kufikisha mzigo huu Rusumo mpakani.