B Bungukwetu Member Joined Jan 24, 2017 Posts 34 Reaction score 14 Feb 6, 2018 #1 Tafadhali naomba msaada kwawenye uuzoefu au madereva wa malori,nina mzigo nataka kusafirisha kutoka bandarini mpaka Rwanda, ni tani moja na container litafika mwishoni mwa wiki hii. Ningependa kujua bei kufikisha mzigo huu Rusumo mpakani.
Tafadhali naomba msaada kwawenye uuzoefu au madereva wa malori,nina mzigo nataka kusafirisha kutoka bandarini mpaka Rwanda, ni tani moja na container litafika mwishoni mwa wiki hii. Ningependa kujua bei kufikisha mzigo huu Rusumo mpakani.